Loading...

AudioMpya: Jehanamu ya moto - Godly N.K.V.Y

Godly N.K.V.Y

Godly wa NGUVU KAZI VIJANA WA YESU, 'N.K.V.Y', msanii wa Gospel Hip hop, amekuletea chakula kingine (Injili isiyoghoshiwa) kwa njia ya rap. Usipitwe na hii, inapatikana youtube na mdundo pia, kazi yako kuchagua wapi karibu kwako:

Kupitia Youtube, unaweza kuitazama hapo chini:


Kupitia Mdundo, unaweza kuisikiliza na pia ku-download hapo chini:

AudioMpya: Jehanamu ya moto - Godly N.K.V.Y AudioMpya: Jehanamu ya moto - Godly N.K.V.Y Reviewed by Zero Degree on 5/07/2024 09:42:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.