Waziri Mkuu aongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri
![]() |
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipoongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika katika jengo la Hazina jijini Dodoma Mei 07, 2024. |
![]() |
| Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama |
Waziri Mkuu aongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri
Reviewed by Zero Degree
on
5/07/2024 09:26:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
5/07/2024 09:26:00 PM
Rating:

