Loading...

Azam Vs Simba kupigwa kwa Mkapa



Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Saa 12 jioni katika uwanja huo, huku ikikumbukwa katika mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

Azam FC imekuwa ikiutumia uwanja huo kwa michezo yake ya nyumbani dhidi ya timu za Simba SC na Yanga SC na mchezo wao na Yanga SC ulichezwa hapo na waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Azam Vs Simba kupigwa kwa Mkapa Azam Vs Simba kupigwa kwa Mkapa Reviewed by Zero Degree on 5/08/2024 01:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.