Loading...

Picha: Uzinduzi mkakati wa nishati safi ya kupikia


Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.




Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kaulimbiu: “Nishati Safi ya Kupikia kwa kila Mtanzania @wizara_ya_nishati_tanzania

Tazama chini, matukio katika picha - uzinduzi mkakati wa nishati safi ya kupikia:
















@biteko @selemani_jafo @nemctanzania @tanesco_official_page @wakalawanishativijijini_rea @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Picha: Uzinduzi mkakati wa nishati safi ya kupikia Picha: Uzinduzi mkakati wa nishati safi ya kupikia Reviewed by Zero Degree on 5/08/2024 01:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.