Wazazi watakiwa kupeleka watoto shule
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Serikali itawachukulia hatua wazazi wote wasiopeleka watoto wao shule kupata elimu.
Amewataka wananchi wa Kata hiyo kuhakikisha wanawapeleka Watoto wao shule na wale wanaoleta ukinzani dhidi ya maelekezo hayo waripotiwe katika mamlaka za ngazi husika ili kutafuta suluhu ya tatizo hilo.
Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano wa hadhara akizungumza na wananchi kijiji cha Ilyamchele Kata ya Namonge Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita.
Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano wa hadhara akizungumza na wananchi kijiji cha Ilyamchele Kata ya Namonge Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita.
Wazazi watakiwa kupeleka watoto shule
Reviewed by Zero Degree
on
7/23/2024 08:52:00 AM
Rating: