Yanga wachezea kichapo cha bao 2-1 Sauzi
Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumalanga Afrika Kusini.
Mshambuliaji mpya wa Yanga Jean Baleke ameanza vyema baada ya kufunga bao la kufutia machozi kwa timu yake huku mabao ya Augsburg yakifungwa na Mads Pedersen na Niklas Dorsch.
Yanga wachezea kichapo cha bao 2-1 Sauzi
Reviewed by Zero Degree
on
7/20/2024 08:50:00 PM
Rating: