Loading...

Matukio katika picha: Kongamano la Biashara (Kariakoo Festival 2025)

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Selemani Jafo akiwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda katika Kongamano la Biashara 2025

Picha za Matukio mbalimbali katika Kongamano la Biashara (Kariakoo Festival 2025) Agosti 15, 2025 Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika Kongamano hilo, lililofanyika Kariakoo, ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo.






















Matukio katika picha: Kongamano la Biashara (Kariakoo Festival 2025) Matukio katika picha: Kongamano la Biashara (Kariakoo Festival 2025) Reviewed by Zero Degree on 8/15/2025 01:07:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.