Nizar ruksa kuitumikia Yanga, Azam watoa baraka zao
Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na klabu ya Yanga kuhusu mchezaji, Nizar Abubakar Othman.
Azam imetoa baraka zote kwa mchezaji huyo na kumtakia kila la heri katika maisha mapya ya soka.
Kwa upande mwingine Azam wametoa pongezi kwa klabu ya Yanga kwa weledi waliouonesha hadi kufikia muafaka.
Taarifa ya klabu y Azam FC
Nizar ruksa kuitumikia Yanga, Azam watoa baraka zao
Reviewed by Zero Degree
on
8/15/2025 12:24:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
8/15/2025 12:24:00 PM
Rating:

