Mahakama Tz yaiamuru Serikali kuiondolea X vikwazo
Mahakama kuu ya Tanzania imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuondoa mara moja vikwazo dhidi ya mtandao wa X, ikisema vizuizi hivyo vinaenda kinyume na katiba.
Kwa mujibu wa uamuzi huo, hatua ya kuufungia upatikanaji wa mtandao huo ambao zamani ulijulikana kama Twitter, mamlaka ya mawasiliano TCRA ina mamlaka ya kuzuia maudhui mahsusi lakini si mtandao mzima. Upatikanaji wa mtandao huo umefungiwa nchini humo tangu Mei 2025. #DWKiswahili
Mahakama Tz yaiamuru Serikali kuiondolea X vikwazo
Reviewed by Zero Degree
on
11/27/2026 04:10:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
11/27/2026 04:10:00 PM
Rating:
