MAKUBWAAA, MWANAUME AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUMCHINJA MPENZI WAKE WA KIUME
Kesi imeanza dhidi ya mwanamume anayedaiwa kumuua na kumkatakata vipande mpenzi wake mwanamume Jun Lin na kuwatumia wanasiasa vipande vya mwili wake kupitia njia ya posta.
Taarifa zinasema pia alituma baadhi ya vipande vya mwili wa mwanamume huyo kwa shule kadhaa nchini humo.
Luke Magnotta mwenye umri wa miaka 32 alifikshwa mahakamani mjini Montreal lakini alikanusha madai ya mauaji hayo yaliyotokea mwaka 2012.
Ikiwa atapatikana na hatia atafungwa maisha jela.
Mpenzi wa Magnota alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa China.
Polisi walianza uchunguzi wa mauaji hayo, baada ya kupata kiwiliwili cha mwanamume huyo karibu na nyumba ya Magnotta. Polisi walianza msako wa kimataifa kumtafuta Magnotta na hatimaye kumkamatia katika duka la huduma za internet mjini Berlin Ujerumani.
Polisi walipata vipande vya mwili wa Lin katika posta vikiwa vimetumwa kwa waziri mkuu Stephen Harper pamoja na wanasiasa wengine.
Polisi pia walipata vipande vingine vikiwa vimetumwa kwa shule mbili za kiingereza. Kicwa kilipatikana katika bustani la Montreal.
Kadhalika wachunguzi walipata video kwenye mtandao ikionyesha mauaji ya Lin.

ZeroDegree.
MAKUBWAAA, MWANAUME AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUMCHINJA MPENZI WAKE WA KIUME
Reviewed by Zero Degree
on
9/29/2014 08:25:00 PM
Rating: