SCHOOL WAKATI MWINGINE INAZINGUA KAMA VITANI JAMAANI, HEBU CHEKI UYO TICHA.....!
Kama wewe hapo unahsi hako kadogo kalikua kamefanya kosa gani hadi mwalimu anamua kukatia viboko vyenye ujazo namana iyoo..?
Yaan picha kama hii akiona mtoto ambaya hajajichanganya na school lazima atoahc huko nimiyeyusho tu, kama vitani vile ukikaa sight mbaya unalambwa viboko kivita.
Walimu kama hao nawanafananisha na wale wanakuaga na store ya viboko nyuma ya mlango kwa ofisi, tena wakataga fimbo nyingi kishenzi afu ngumu, kubwa eti yote kwa ajiri ya mwanafunzi anayeenda nje ya utaratibu. Duuuh! Ticha kama vile anachunga ng'ombe mmmmh....!
Comment & Share about this!!
SCHOOL WAKATI MWINGINE INAZINGUA KAMA VITANI JAMAANI, HEBU CHEKI UYO TICHA.....!
Reviewed by Zero Degree
on
9/08/2014 11:40:00 AM
Rating: