Loading...

Moja kwa moja: Magufuli kukabidhiwa cheti Tanzania

11:00am: Hafla ya kumkabidhi Magufuli cheti inafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

9.00am: Mgombea urais wa chama cha CCM John Magufuli leo anakabidhiwa cheti cha ushindi na tume ya uchaguzi baada yake kutangazwa mshindi Alhamisi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva alisema kuwa Magufuli, alijipatia kura 8,882,935 ikiwa ni aslimia 58.46.
Mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa wa chama cha Chadema alijipatia kura 6,072,848 ikiwa ni asilimia 39.97 ya kura zote halali.
Baada ya kutangazwa kwa ushindi wake, wafuasi wake walisherehekea katika miji mbalimbali nchini humo.
Moja kwa moja: Magufuli kukabidhiwa cheti Tanzania Moja kwa moja: Magufuli kukabidhiwa cheti Tanzania Reviewed by Zero Degree on 10/30/2015 11:22:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.