Loading...

Dalili mpya za EBOLA zatangazwa Liberia.


Maafisa wa afya wa Umoja wa Mataifa wanasema kumetokea maambukizi mapya ya Ebola nchini Liberia chini ya miezi mitatu baada ya nchi hiyo kutangazwa kutokuwa na ugonjwa huo.

Mgonjwa wa sasa ni mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka kumi kutoka viungani mwa mji wa, Monrovia.
Wachambuzi wanasema habari hii ni pigo kubwa kwa nchi ya Liberia ambayo imeshuhudia zaidi ya maambukizi elfu kumi na vifo zaidi ya elfu nne tangu ugonjwa wa Ebola kugunduliwa nchini humo.


Source: BBC
Dalili mpya za EBOLA zatangazwa Liberia. Dalili mpya za EBOLA zatangazwa Liberia. Reviewed by Zero Degree on 11/21/2015 08:11:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.