Loading...

Breaking News: Wachimbaji wa migodi (idadi haijafahamika) wafukiwa na kifusi, Mbeya.



Hali ya taharuki kwenye eneo la tukio


Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

Taarifa za hivi punde:

Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.

Tutazidi kukuhabarisha zaidi kuhusiana na tukio hili.


Source: Global publishers


Comment & Share this story!!
Breaking News: Wachimbaji wa migodi (idadi haijafahamika) wafukiwa na kifusi, Mbeya. Breaking News: Wachimbaji wa migodi (idadi haijafahamika) wafukiwa na kifusi, Mbeya. Reviewed by Zero Degree on 12/28/2015 04:43:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.