Loading...

LULU: “Jamani hakuna kitu kizuri kama kuzaa kwa kubandika na kubandua, yaani...." adai atazaa bandika bandua!!


lulu


Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie.


Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka kuwa na watoto wengi.

“Jamani hakuna kitu kizuri kama kuzaa kwa kubandika na kubandua, yaani nikimwangalia Mercy Johnson wa Nollywood nchini Nigeria jinsi alivyozaa, napenda sana na ndiyo maana hata mimi wakati wangu ukifika hakuna kupumzika,” alisema Lulu.


Credits: Global publishers



Mshirikishe na mwenzako kuhusu habari hii!!
LULU: “Jamani hakuna kitu kizuri kama kuzaa kwa kubandika na kubandua, yaani...." adai atazaa bandika bandua!! LULU:  “Jamani hakuna kitu kizuri kama kuzaa kwa kubandika na kubandua, yaani...." adai atazaa bandika bandua!! Reviewed by Zero Degree on 12/17/2015 11:21:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.