Loading...

TINGA TINGA: Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni Dar, zabomolewa!!!








Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa inayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.



Baadhi ya wananchi waliokubwa na kadhia hiyo wamepaza sauti zao juu ya kuvunjiwa nyumba zao huku wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa yoyote ya kuwataka wahame eneo hilo kutoka uongozi wa serikali ya mtaa huo.

















Credits: Global publishers




Mshirikishe na mwenzako kuhus habari hii!!

TINGA TINGA: Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni Dar, zabomolewa!!! TINGA TINGA: Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni Dar, zabomolewa!!! Reviewed by Zero Degree on 12/17/2015 01:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.