Loading...

Bidhaa nyingi za magendo zakamatwa katika bandari bubu Tanga zikitokea Zanzibar.

Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar.


Operesheni hiyo imefanywa na Polisi 100 wakishirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama.


Vyombo vilivyohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo vyote vimetaifishwa.



ZeroDegree.
 
Bidhaa nyingi za magendo zakamatwa katika bandari bubu Tanga zikitokea Zanzibar. Bidhaa nyingi za magendo zakamatwa katika bandari bubu Tanga zikitokea Zanzibar. Reviewed by Zero Degree on 1/19/2016 11:51:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.