Loading...

Mbunge wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee ashinda kesi ya uchaguzi.


Halima Mdee.

Mbunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee leo ameshinda kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa dhidi yake na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Kippi Warioba.



Source: GPL
Mbunge wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee ashinda kesi ya uchaguzi. Mbunge wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee ashinda kesi ya uchaguzi. Reviewed by Zero Degree on 1/15/2016 06:52:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.