Loading...

MBUNGE wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe aibuka na hoja mpya juu ya kamati za bunge. [ Soma hapa alichokiandika kwenye ukurasa wake wa Instagram]


MBUNGE wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameibuka na kusema kuwa upangwaji wa kamati za Bunge la 11 umepanga kuibeba Serikali na si kuiwajibisha kama kanuni na taratibu zinavyotaka.



Zitto kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram amesema kuwa ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wabunge kuhusika katika maamuzi ya ni nani anafaa apangwe katika kamati gani wakati suala hilo ni kazi ya Spika na Naibu wake.



Hiki ndicho alichoandika katika ukurasa wake wa instagram:







ZeroDegree.


MBUNGE wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe aibuka na hoja mpya juu ya kamati za bunge. [ Soma hapa alichokiandika kwenye ukurasa wake wa Instagram] MBUNGE wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe aibuka na hoja mpya juu ya kamati za bunge. [ Soma hapa alichokiandika kwenye ukurasa wake wa Instagram] Reviewed by Zero Degree on 1/22/2016 08:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.