Loading...

Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya 3 Tanzania, Benjamin Mkapa aibuka na mpya juu ya mzozo wa Burundi.


Mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, Benjamin Mkapa

Arusha, Tanzania. Mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, Benjamin Mkapa ameahidi kuzungumza na pande zote hasimu nchini Burundi katika jitihada za kuutatua mgogoro wa nchi hiyo ndogo ya katikati mwa Afrika.

Mkapa ambaye alikuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu wa Tanzania jana alitoa taarifa na kusema kuwa atazungumza na makundi yote hata watu ambao hawashiriki katika mazungumzo ya Arusha ya kujadili mgogoro huo. 

Alisema ni wazi kuwa kama upande wa upinzani utashiriki, utazidi kuyapa maana mazungumzo hayo.

ZeroDegree.
Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya 3 Tanzania, Benjamin Mkapa aibuka na mpya juu ya mzozo wa Burundi. Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya 3 Tanzania, Benjamin Mkapa aibuka na mpya juu ya mzozo wa Burundi. Reviewed by Zero Degree on 5/25/2016 01:43:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.