Loading...

Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma sasa kudhibiti biashara holela.


Kigoma. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Paulo Malala amesema wamejipanga kudhibiti biashara holela ya ununuzi na usafirishaji wa mazao ya muhogo na mahindi kwenda nchi jirani ya Burundi. 

Amesema leo kuwa wafanyabiashara wananunua zao hilo kisha kulisafirisha bila kulipia ushuru.

Amesema mchezo huo unasababisha halmashauri za vijijini kukosa mapato kwa kushindwa kukusanya ushuru.

Mmoja wa wafanyabiashara wa mahindi mjini hapa, Idones Paulo amesema, “Wapo wafanyabiashara wanaopakia bidhaa hizo bila kulipa ushuru.”




ZeroDegree.
Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma sasa kudhibiti biashara holela. Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma sasa kudhibiti biashara holela. Reviewed by Zero Degree on 5/17/2016 06:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.