Loading...

Wazuiwa kufunga Mwezi wa Ramadhani.


China. Serikali ya China imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na watu wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang wasifunge katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Taarifa iliyochapishwa katika tovuti rasmi ya Serikali ya mji wa Korla mkoani Xinjiang ilisema: “Wanachama (wa chama tawala cha Kikomunisti), makada na wafanyakazi wa umma hawapaswi kufunga Ramadhani na kushiriki katika harakati za kidini mwezi huu.”

Source: Mwananchi
ZeroDegree.
Wazuiwa kufunga Mwezi wa Ramadhani. Wazuiwa kufunga Mwezi wa Ramadhani. Reviewed by Zero Degree on 6/09/2016 04:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.