Loading...

Hukumu ya kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, Daud Mwangosi Kutolewa Leo.



Daud Mwangosi enzi za uhai wake.

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, Daud Mwangosi inayomkabili Pacificius Cleophace Simon.

Mwangosi alivyouawa.

Juzi mahakama hiyo ilimkuta na hatia ya kuua bila kukusudia Pacificius ambaye anayetuhumiwa kumuua Mwangosi katika tukio lilitokea katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Septemba 2, 2012.


ZeroDegree.
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, Daud Mwangosi Kutolewa Leo. Hukumu ya kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, Daud Mwangosi Kutolewa Leo. Reviewed by Zero Degree on 7/27/2016 09:59:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.