Loading...

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu Dodoma.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Julai 21, 2016.



Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Julai 21, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mtarajiwa, Rais John Magufuli, Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM , Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, kuliani ni Makamu Mwenyekiti wa CCM , Bara, Philip Mangula na wapili kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).




ZeroDegree.

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu Dodoma. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu Dodoma. Reviewed by Zero Degree on 7/21/2016 10:00:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.