Chama cha CM-Tanzania chafutiwa usajili.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini amekifuta katika orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa muda Chama cha Maadili na Uwajibikaji (CM-Tanzania) kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya usajili. Chama cha CM-Tanzania kilipata usajili wa muda tarehe 4 Februari, 2016. Taarifa kamili iko hapa chini.
Chama cha CM-Tanzania chafutiwa usajili.
Reviewed by Zero Degree
on
8/11/2016 08:25:00 AM
Rating:
