Loading...

Haya hapa matokeo ya mechi za Ligi kuu ya vodacom leo tar 27 Agosti, ..Simba yabanwa taifa na JKT Ruvu.

Mchezo wa pili wa Simba wa Ligi Kuu ya Vodacoma (VPL) kwa msimu wa 2016/2017 umepigwa katika uwanja wa taifa dhidi ya JKT Ruvu na mchezo huo ukimalizika kwa sare ya bila kufungana.


Simba itabaki ikijilaumu kwani kuanzia dakika ya 60 ilikuwa ikilishambulia kwa kasi katika lango la JKT Ruvu lakini ilishindwa kutumia ipasavyo nafasi ilizokuwa ikizipata na hivyo kuambulia nafasi moja ya mchezo huo.

Baada ya mchezo huo, Simba sasa imefikisha alama nne na mchezo unaofuata inataraji kucheza na Ruvu Shooting.


Matokeo ya mechi nyingine ziliyochezwa leo:
  • Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC
  • Azam FC 3-0 Majimaji FC
  • Prisons 1-1 Ruvu Shooting
  • Mbao FC 0-1 Mwadui FC
  • Kagera Sugar 0-0 Stand United

ZeroDegree.
Haya hapa matokeo ya mechi za Ligi kuu ya vodacom leo tar 27 Agosti, ..Simba yabanwa taifa na JKT Ruvu. Haya hapa matokeo ya mechi za Ligi kuu ya vodacom leo tar 27 Agosti, ..Simba yabanwa taifa na JKT Ruvu. Reviewed by Zero Degree on 8/27/2016 10:14:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.