Loading...

Ligi kuu ya Uingereza [ Barcrays Premier League ] kurushwa hewani na TV1


Meneja Mkuu wa TV1, Joseph Sayi amesema kituo chao kimepata ruhusa kutoka kampuni ya Econet Media yenye haki za kuonyesha ligi hiyo kusini mwa Jangwa la Sahara.

Mashabiki wa soka nchini wamepata ahueni ya kutazama Ligi Kuu ya England kupitia kituo cha runinga cha TV1. 

Ligi itakayoonyeshwa na TV1.



Meneja Mkuu wa TV1, Joseph Sayi.

Meneja Mkuu wa TV1, Joseph Sayi amesema kituo chao kimepata ruhusa kutoka kampuni ya Econet Media yenye haki za kuonyesha ligi hiyo kusini mwa Jangwa la Sahara.

“Kama inavyofahamika kuwa Ligi Kuu England inatazamwa na watu zaidi ya milioni 260 duniani, hivyo tumeona tuwafikishie uhondo huu mashabiki wa soka nchini kwa urahisi,” amesema Sayi.

Meneja Masoko wa TV1, Gillian Lugumamu amesema kituo hicho kitaonyesha mechi moja kila Jumamosi, huku Ijumaa na Jumatano zikitengwa kwa ajili ya uchambuzi wa mechi za ligi hiyo.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Ligi kuu ya Uingereza [ Barcrays Premier League ] kurushwa hewani na TV1 Ligi kuu ya Uingereza [ Barcrays Premier League ] kurushwa hewani na TV1 Reviewed by Zero Degree on 8/04/2016 06:43:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.