Loading...

Shule nyingine yachomwa moto Mkoani Arusha.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo
Watu wasiojulikana wamechoma ofisi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Winning Spirit ya Arusha na kufanya idadi ya shule zilichomwa moto ndani ya miezi miwili mkoani hapa kufikia sita.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alisema jana kuwa tukio hilo lililotokea saa saba usiku na taarifa za kiintelejensia zinaeleza kuwa kuna kundi la watu linalofadhili watu wanaofanya uhalifu huo.

Alisema jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa kina kuubaini mtandao huo na kuchukua hatua za kisheria.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Shule nyingine yachomwa moto Mkoani Arusha. Shule nyingine yachomwa moto Mkoani Arusha. Reviewed by Zero Degree on 8/23/2016 08:40:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.