Loading...

Williams ajiunga na Klabu ya Everton akitokea Swansea.

Ni mchezaji wa tatu kununuliwa na meneja Koeman.

Timu ya Everton imemsainisha kapteni wa Wales, Ashley Williams kutoka kwa wapinzani wao wa ligi kuu Swansea kwa gharama inayokadiliwa kufikia Euro milioni 12.


Beki huyo mwenye umri wa miaka 31, ni mchezaji wa tatu kununuliwa na menejaRonald Koeman baada ya kiungo wa Senegal Idrissa Gueye na mlinda mlango Maarten Stekelenburg.


Amedumu Swansea kwa miaka nane

Wapo pia kwenye maongezi kumsainisha kiungo wa Crystal Palace Yannick Bolasie na wa beki wa Sunderland Lamine Kone.

Credits: BBC
ZeroDegree.
Williams ajiunga na Klabu ya Everton akitokea Swansea. Williams ajiunga na Klabu ya Everton akitokea Swansea. Reviewed by Zero Degree on 8/11/2016 09:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.