Loading...

AJALI: Msanii wa Hip-Hop nchini, Darassa anusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Kahama, ..Tazama picha hapa.

Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muziki jana alipata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama.



Ajali hiyo inaelezwa kuwa ilitokea eneo la Ntobo barabara ya kuelekea mgodi wa Bullyanhulu, Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.



Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa hakuna aliefariki dunia.


ZeroDegree.
AJALI: Msanii wa Hip-Hop nchini, Darassa anusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Kahama, ..Tazama picha hapa. AJALI: Msanii wa Hip-Hop nchini, Darassa anusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Kahama, ..Tazama picha hapa. Reviewed by Zero Degree on 12/19/2016 11:37:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.