Loading...

Beki wa klabu ya Chelsea, Cesra Azipilicueta asaini mkataba mpya.

Mchezaji wa Hispania ambaye anakipiga katika klabu ya Chelsea, Cesar Azipilicueta ambaye anacheza nafasi ya beki wa pembeni.

Amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu katika klabu ya Chelsea utakaomfanya aendelee kuitumikia timu hiyo mpaka mwaka 2020.

Cesar Azipilicueta akisaini mkataba mpya katika klabu ya Chelsea.
ZeroDegree.
Beki wa klabu ya Chelsea, Cesra Azipilicueta asaini mkataba mpya. Beki wa klabu ya Chelsea, Cesra Azipilicueta asaini mkataba mpya. Reviewed by Zero Degree on 12/14/2016 11:34:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.