Loading...

Raia wa Ufaransa atekwa Nyara nchini Mali.

Ufaransa imethibitisha kuwa raia wake mmoja katika shirika la msaada, ametekwa nyara kaskazini mwa Mali.

Wizara ya mashauri ya nchi za nje inasema, Sophie Petronin, alitekwa mjini Gao, kaskazini mwa nchi.

Imesema amekuwa akilifanyia kazi shirika la kuwasiadia watoto wanaougua utapia mlo.

Hakuna kundi lilodai kumteka msaidizi huyo.

ZeroDegree.
Raia wa Ufaransa atekwa Nyara nchini Mali. Raia wa Ufaransa atekwa Nyara nchini Mali. Reviewed by Zero Degree on 12/25/2016 01:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.