VIDEO: Sauti za watu wakifanya mapenzi zasikika kwenye simu ya Rais akiwa mahakamani.
![]() |
Rais wa Bolvia, Evo Morales. |
Rais Evo Morales akiwa mahakamani kwenye kikao pamoja na wanasheria wa kimataifa alianza kuchezea simu yake ya mkononi ambapo ghafla kwa bahati mbaya alibonyeza ku-play videos kwenye simu hiyo ambapo zilisikika sauti za watu wakifanya mapenzi kwenye simu yake.
Kuitazama video bofya hapo chini:
Kuitazama video bofya hapo chini:
ZeroDegree.
VIDEO: Sauti za watu wakifanya mapenzi zasikika kwenye simu ya Rais akiwa mahakamani.
Reviewed by Zero Degree
on
12/29/2016 10:50:00 AM
Rating:
