Loading...

Kutana na babu wa miaka 77 akivuta gari kwa kutumia shingo [PICHA].

Katika hali ya kawaida kumkuta mzee wa miaka zaidi ya 70 akiwa na nguvu kiasi hata cha kubeba kilo 50 tu ni nadra sana, sasa leo jionee huyu babu wa miaka 77 kutoka mji wa Akwa Ibom, Nigeria ambaye ana uwezo wa kuvuta gari kwa kutumia shingo yake.

Babu huyo amefahamika kwa jina la Sampson, ila yeye anataka afahamike kwa jina la African Superman, ana uwezo pia wa kuweka mkono wake juu na wanaume 10 wakabembea bila kuushusha mkono wake chini. Pia ana uwezo wa kutafuna chupa, kuvuta gari kwa kutumia meno, na hata wanaume 15 wenye nguvu wakijaribu kuvutana naye, hujikuta wakishindwa.







Credits: MillardAyo
ZeroDegree.
Kutana na babu wa miaka 77 akivuta gari kwa kutumia shingo [PICHA]. Kutana na babu wa miaka 77 akivuta gari kwa kutumia shingo [PICHA]. Reviewed by Zero Degree on 1/03/2017 03:18:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.