Loading...

Miss Tanzania 2010, Genevieve aingia rasmi kwenye muziki hii hapa ngoma yake aliyotoa

Muongeze Genevieve Emmanuel kwenye orodha ya wasanii wa kuwaangalia mwaka huu. Miss Tanzania huyo wa mwaka 2010, ameachia ngoma yake iitwayo Nana na uwezo wake katika uimbaji utakushangaza… Ngoma imetayarishwa na Luffa.



ZeroDegree.
Miss Tanzania 2010, Genevieve aingia rasmi kwenye muziki hii hapa ngoma yake aliyotoa Miss Tanzania 2010, Genevieve aingia rasmi kwenye muziki hii hapa ngoma yake aliyotoa Reviewed by Zero Degree on 1/29/2017 11:46:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.