Loading...

VIDEO: Everton walivoiduwaza Manchester City kwa kichapo cha goli 4-0

Baada Everton kupata bao la pili, Pep Guardiola alionekana mwenye kupoteza matumaini kabisa, katika ardhi ya Goodson Park alionekana mwenye kutazma tu uwanjani bila hata kufuatilia ni jinsi gani mechi inaendelea.

Ilikuwa inatohsa kujieleza kwa hali aliyokuwanayo baada ya Everton kupunguza makali ya City baada ya shambulizi lakushitukiza 'Counter attack' kwenye lango la Manchester na kupata goli la pili.



Katika siku ya pambano kali kati ya Manchester dhidi ya Liverpool, Mancheter City wanapata pigo ambalo linawaacha pointi 10 nyuma ya viongozi wa ligi.

Bofya hapo chini kuyaona magoli yote waliyofungwa Manchester City:



ZeroDegree.
VIDEO: Everton walivoiduwaza Manchester City kwa kichapo cha goli 4-0 VIDEO: Everton walivoiduwaza Manchester City kwa kichapo cha goli 4-0 Reviewed by Zero Degree on 1/15/2017 07:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.