Loading...

VIDEO: Mourinho apokea simu ya mwandishi wa habari iliyopigwa wakati wa mahojiano

Kidogo ni swala la kushangaza huku ikiwa ni katika maandalizi ya mtanange mkali kati ya wapinzani wa jadi Liverpool na Manchester United siku ya Jumapili.

Kama ilivoonekana kwa meneja wa manchester united, Jose Mourinho wakati alipokuwa anatoa taarifa ambayo ingeweza kutumika kama kauli ya mkutano wake na waandishi wa habari siku ya Ijumaa asubuhi, simu ya mwaandishi wa mmoja wa habari ikaita ghafla.

Na, bila shaka yoyote, Mourinho aliipokea. Aliipokea kwa heshima tu.

Mwandishi wa habari hakuhurumiwa na kupewa nafasi ya kujibu simu, lakini Kocha huyo raia wa Ureno vle vile alikuwa na wakati mgumu kuweka sawa hali ya mkutano wake ho na waandishi wa habari baada yatukio hilo.



ZeroDegree.
VIDEO: Mourinho apokea simu ya mwandishi wa habari iliyopigwa wakati wa mahojiano VIDEO: Mourinho apokea simu ya mwandishi wa habari iliyopigwa wakati wa mahojiano Reviewed by Zero Degree on 1/13/2017 11:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.