Loading...

Waziri wa mazingira auawa nchini Burundi kwa kupigwa risasi.

Waziri wa mazingira huko Burundi Emmanuel Niyonkuru, amefariki baada ya kupigwa risasi mjini Bujumbura saa chache tu baada ya kuingia mwaka mpya.

Police wanasema amepigwa risasi alipokuwa akielekea nyumbani kwake eneo la Rohero.

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, ameapa kuchukua hatua kali za kisheria kwa atakayepatikana na hatia ya kuhusika katika mauaji hayo.


ZeroDegree.
Waziri wa mazingira auawa nchini Burundi kwa kupigwa risasi. Waziri wa mazingira auawa nchini Burundi kwa kupigwa risasi. Reviewed by Zero Degree on 1/01/2017 12:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.