Loading...

Idd Azzan naye awasili kituo cha Polisi kuitikia wito wa RC Makonda

Idd Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya.

Baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza awamu ya pili ya sakata la dawa za kulevya huku jina la mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azan akiwa kwenye list, leo February 10 2017, Idd Azan amefika kituo cha polisi kati kuitikia wito wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda aliyewataka kufika kituoni hapo kwa mahojiano.

Viongozi wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa ni Askofu Josephat Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ambao waliripoti jana kisha wakaondolewa na kupelekwa kusikojulikana
Idd Azzan naye awasili kituo cha Polisi kuitikia wito wa RC Makonda Idd Azzan naye awasili kituo cha Polisi kuitikia wito wa RC Makonda Reviewed by Zero Degree on 2/10/2017 12:16:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.