Loading...

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] baada ya mechi za jana jumatano

Gabriel Jesus akiifungia Manchester City bao lake la kwanza
Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto.

Mtanange kati ya Westham na Man City uliisha kwa wagonga nyundo yaani Westham kuchapwa 4-0.

Stoke City 1-1 Everton

Ambapo katika mchezo huo mshambuliaji wa stoke Peter Crouch amefikisha goli la 100 kwenye EPL.

Manchester United 0-0 Hull City

Hii inamaanisha kwamba hata mchezo unaokuja Man United ikishinda na City ikafungwa United inabaki palepale namba sita.

Manchester City 4-0 West Ham

Naye Gabriel Jesus alifunga bao lake la kwanza la Man City wakati timu hiyo ilipoicharaza West Ham katika uwanja wa London.

Msima wa Ligi kuu ya Uingereza [EPL]

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] baada ya mechi za jana jumatano Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] baada ya mechi za jana jumatano Reviewed by Zero Degree on 2/02/2017 01:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.