Simu aliyokuwa anatumia Adolf Hitler kuuzwa mnadani nchini Marekani
Simu iliokuwa ikitumiwa na kiongozi wa Nazi Adolf Hitler kupigwa mnada Marekani |
Simu hiyo nyekundu iliyo na chapa ya jina la kiongozi huyo wa Wanazi, ilipatikana katika ngome ya Hitler jijini Berlin mwaka 1945.
Wanajeshi wa Urusi walimpa mwanajeshi wa Uingereza, Brigedia Sir Ralph Rayner, kama kito cha kumbukumbu, muda mfupi baada ya Ujerumani kukubali kushindwa katika vita hivyo.

Simu ya Adolf Hitler |
Source: BBC Swahili
Simu aliyokuwa anatumia Adolf Hitler kuuzwa mnadani nchini Marekani
Reviewed by Zero Degree
on
2/18/2017 05:05:00 PM
Rating: