Loading...

Huyu ndiye atakayerithi mikoba ya Arsene Wenger

Mchezaj aliyeacha jina kwenye klabu yake hiyo ya zamani, hata hivyo amesema hana uhakika iwapo ndiye atakarithi mikoba hiyo ya bosi wake wa zamani ambaye amekuwa kwenye wakati mgumu kutokana na presha ya kutakiwa kuondoka klabuni hapo.

Mkabata wa Wenger unaelekea ukingoni mwishoni mwa masimu huu na mpaka sasa hajui hatima yake klabuni hapo kutokana na kuwapo mvutano iwapo abaki au aendelee kukinoa kikosi hicho.

Thiery Henry kurithi mikoba ya Wenger
Msukumo mkuwa wa kutakiwa kuondoka ulishinikizwa na mashabiki wa timu hiyo baada ya kuondolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Europa, huku wakimpa presha kuhakikisha kikosi hicho kinakuwa katika nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.

Enzi za Thiery Henry akiwa na Arsenal
Huyu ndiye atakayerithi mikoba ya Arsene Wenger Huyu ndiye atakayerithi mikoba ya Arsene Wenger Reviewed by Zero Degree on 3/28/2017 12:42:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.