Loading...

Kisa madeni ya kodi, ..TRA yafunga ofisi za TFF

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani.

Kampuni ya Yono Auction Mart walihusika katika kuzifunga ofisi hizo na kuwataka wafanyakazi wote kutotoka nje ya ofisi na kuacha kilakitu ndani.


Awali TFF walikuwa wanadaiwa na TRA na kuzuia baadhi ya magari yakiwemo yanayotumiwa na timu za taifa ambyzo baadae yaliachiliwa na kuanza kutumika tena.
Kisa madeni ya kodi, ..TRA yafunga ofisi za TFF Kisa madeni ya kodi, ..TRA yafunga ofisi za TFF Reviewed by Zero Degree on 3/15/2017 05:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.