Loading...

Matokeo ya mechi za kirafiki zilizochezwa jana

Miamba wa soka ya Afrika Nigeria na Senegal wakicheza mchezo wao wa kirafiki nchini England walikwenda Sare ya kufungana 1-1.

Majirani wa ukanda wa Afrika Mashariki timu ya Uganda The Cranes na kenya The Harambe Stars pia walishindwa kutambiana baada ya kwenda sare ya 1-1.

Cheikh Ndoye wa Senegal kushoto akikabiliana na Ogenyi wa Nigeria
Jordan wakiwa nyumbani wakashinda kwa ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya Hong Kong, Afghanistan wao wakawachapa Singapore kwa 2-1.

Bahrain wakashindwa kutamba nyumbani kwa kukubalia sare ya 1-1 dhidi ya timu ya taifa ya Tajikistan
Matokeo ya mechi za kirafiki zilizochezwa jana Matokeo ya mechi za kirafiki zilizochezwa jana Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 11:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.