Loading...

Rais Magufuli amteua aliyekuwa Kamishna wa TRA, Alphayo Kidata kuwa Katibu mkuu Ikulu

Rais John Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amemteua Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.

Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Peter Ilomo ambaye amestaafu.

Alphayo Kidata
Kabla ya uteuzi huo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nafasi hiyo itajazwa baadaye. 

Uteuzi wa Kidata unaanza mara moja na ataapishwa kesho tarehe 24 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli amteua aliyekuwa Kamishna wa TRA, Alphayo Kidata kuwa Katibu mkuu Ikulu Rais Magufuli amteua aliyekuwa Kamishna wa TRA, Alphayo Kidata kuwa Katibu mkuu Ikulu Reviewed by Zero Degree on 3/23/2017 11:53:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.