Loading...

Rais Magufuli atengua uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu ofisi ya Waziri Mkuu

Aliyekuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Uledi Mussa. 
Rais John Magufuli ametengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge), Uledi Mussa.

Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kutenguliwa kwa uteuzi na kusimamishwa kazi kwa Mussa kumeanza jana.

Hatua hiyo imechukuliwa ili kupisha uchunguzi zaidi dhidi ya Mussa kufuatia kutozingatiwa kwa taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji.


Source: Mwananchi
Rais Magufuli atengua uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Rais Magufuli atengua uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Reviewed by Zero Degree on 3/16/2017 09:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.