Loading...

Simeone: Manchester United wako huru kumsajili Griezmann

KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amethibitisha kwamba Manchester United watakuwa huru kumsajili mshambuliaji, Antoine Griezmann, mwishoni mwa msimu kama watalipa kiwango cha fedha kinachotakiwa.

Kiwango cha fedha kinachotakiwa na klabu hiyo hakijawekwa wazi, lakini taarifa zinasema kwamba itakuwa ni pauni milioni 86.4.
Simeone: Manchester United wako huru kumsajili Griezmann Simeone: Manchester United wako huru kumsajili Griezmann Reviewed by Zero Degree on 3/24/2017 05:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.