Loading...

PICHA: Jinsi mashabiki wa Bayern walivyokinukisha Bernabéu baada ya kutolewa UEFA

Katika mchezo wa soka kuna matokeo makubwa matatu, ambayo ni pamoja na kushinda, kufungwa na kutoka suluhu – Lakini habari nzuri ambazo mashabiki wanapenda kuzisikia ni kupata ushindi kwa timu yao wanayoishabikia.


Usiku wa kumakia leo mashabiki wa Bayern Munich waliamua kuanzisha ugomvi wakati timu yao ilipokumbana na kichapo cha magoli 4-2 wakiwa ugenini, kutoka kwa Real Madrid huku wakishuhudia mchezaji wao Artulo Vidal, akipata kadi nyekundu dakika katika dakika ya 84.

Tazama picha za mashabiki hao walivyofanya fujo katika uwanja wa Santiago Bernabéu.





PICHA: Jinsi mashabiki wa Bayern walivyokinukisha Bernabéu baada ya kutolewa UEFA PICHA: Jinsi mashabiki wa Bayern walivyokinukisha Bernabéu baada ya kutolewa UEFA Reviewed by Zero Degree on 4/19/2017 02:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.