Loading...

VIDEO: Chelsea yazidi kuukalibia Ubingwa wa Ligi kuu ya Uingereza [EPL]

Chelsea imeendeleza moto kwenye Ligi kuu ya Uingereza baada ya kutoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Middlesbrough kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Wafungaji wa magoli ya Chelsea ni; Diego Costa (23'), Marcos Alonso (34') na Nemanja Matic (65') .

Kwa ushindi huo, Chelsea imezidi kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu baada ya kujikita kileleni kwa tofauti ya pointi 7 zaidi mbele ya Tottenham ambapo Chelsea wamebakiza mechi 3 kabla ya kumalizika kwa msimu huu wa 2016/17sambamba na Tottenham ambao nao wamebakiza mechi 3.

Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza [EPL]:


VIDEO: Chelsea yazidi kuukalibia Ubingwa wa Ligi kuu ya Uingereza [EPL] VIDEO: Chelsea yazidi kuukalibia Ubingwa wa Ligi kuu ya Uingereza [EPL] Reviewed by Zero Degree on 5/09/2017 01:43:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.