Aishi Manula asaini miaka 2 Simba SC, ..imethibitishwa hapa
Taarifa zinaeleza, Simba wamemalizana na Manula mara tu baada ya kambi ya timu ya taifa iliyocheza jana dhidi ya Lesotho.
“Kweli amesaini miaka miwili, Simba inaendelea na kazi yake. Tafadhari waambieni wanachama na mashabiki watuamini, tunajitahidi kufanya kazi yetu,” kilieleza chanzo.
Manula anakuwa mchezaji wa pili baada ya John Bocco kumalizana mapemaa na Simba.
Aishi Manula asaini miaka 2 Simba SC, ..imethibitishwa hapa
Reviewed by Zero Degree
on
6/11/2017 06:46:00 PM
Rating: